Je kwanini uvae gloves wakati wa kukata pilipili?

Imesomwa mara 683

Unafahamu umuhimu wa kulinda mikono yako wakati wa kuandaa pilipili?

Linda mikono kwa kuvaa gloves wakati wa kuandaa pilipili. Pilipili ina ukali ambao unaweza kuifanya ngozi ya mikono iwashe au bahati mbaya kushika macho au sehemu nyingine zinazoweza kukuletea maumivu zaidi bila kukusudia. Pia, pilipili haitoki kirahisi kwenye mikono hata kama utatumia sabuni na maji.

Toa maoni yako