Tikiti maji kwenye sehemu zenye joto

Imesomwa mara 1344

Je unafahamu umuhimu wa kula tikiti maji, hasa kwenye maeneo yenye joto?

Hizi ni kati ya faida chache zinazopatikana kwa kula tikiti maji:

  1. Tikiti maji huboresha kiwango cha maji mwilini na kuzuia maumivu ya misuli pamoja na viungo.
  2. Uwepo wa betacarotene huboresha macho na kuzuia magonjwa mwilini
  3. Kuboresha mzunguko wa damu mwilini
  4. Huboresha kinga ya mwili

Toa maoni yako