Vyakula 5 vya kula kila siku

Imesomwa mara 885

Je unafahamu vyakula unavyotakiwa kula kila siku?

Kati ya vyakula unavyotakiwa kula kila siku ili kuboresha afya ni

  • Apple 1: Punguza magonjwa, boresha kinga
  • Chai (green tea): Punguza magonjwa ya moyo, saratani na kiharusi
  • Limao 1: Punguza mafuta mwilini
  • Kikombe 1 cha maziwa: Kuboresha mifupa
  • Lita 3 za maji: Linda mwili, ondoa magonjwa

Toa maoni yako