Bizari huzuia saratani

Imesomwa mara 652

Je unafahamu umuhimu wa bizari mwilini?

Utafiti unaonyesha kuwa bizari inazuia ukuaji wa seli za saratani mwilini. Hii ni hatua muhimu ya mwili kutumia virutubishi vilivyomo kwenye bizari kupambana na saratani kwa ujumla. Hakikisha unatumia bizari mara kwa mara kwenye chakula.

Toa maoni yako