Umuhimu wa ndizi kwenye ubongo

Imesomwa mara 865

Je unafahamu umuhimu wa ndizi kwenye ubongo wako?

Ndizi ni chanzo kizuri cha madini ya potassium, na madini  ya potassium yanaupa ubongo uwezo wa kufanya kazi vizuri zaidi. Hivyo, ndizi huongeza uwezo wa kiakili kwa kuufanya ubongo kufikiria vizuri zaidi. Kula ndizi na uboreshe uwezo wako wa kufikiri.

Toa maoni yako