Faida 10 za mazoezi

Imesomwa mara 1316

Je wafahamu faida hizi za kufanya mazoezi?

Kuna faida nyingi sana za kufanya zoezi, chache kati yake ni:

  • Kuboresha uwezo wa ubongo kufikiri
  • Kuboresha misuli
  • Kuondoa msongo wa mawazo
  • Kuupa mwili nguvu
  • Huboresha mahusiano mazuri
  • Kukinga mwili na magonjwa
  • Kuboresha moyo
  • Huboresha uwezo wa kufanya kazi
  • Husaidia kupunguza uzito
  • Hukupa maisha yenye furaha na amani

Toa maoni yako