Ndizi hupunguza magonjwa ya moyo

Imesomwa mara 713

Je unafahamu kuwa ndizi inasaidia kuondoa magonjwa ya moyo?

Ndizi ni tunda lenye virutubisho vingi muhimu na asilia, mfano potassium. Kula ndizi 2 kwa siku hupunguza uwezekano wa kupata magonjwa ya moyo. 

Toa maoni yako