Ushauri wa afya kwa wanaume

Imesomwa mara 947

Je unapenda kuwa na afya bora?

Fuatilia haya mambo muhimu ili kuwa na afya bora na kuepuka magonjwa yasiyo ya lazima.

  • Epuka vyakula vyenye sukari nyingi – soda, juisi za kopo, pombe, vyakula vya kusindika n.k
  • Epuka vyakula vilivyo na mafuta yenye madhara (siagi, peanut butter n.k) vinaharibu moyo
  • Kula protini na vitamin kwa wingi, kila siku. Jenga mwili wenye afya, epuka magonjwa
  • Fanya mazoezi – kimbia, ogelea au fanya mchezo wowote ili kujenga na kuimarisha mwili, epuka magonjwa na kulinda afya.

Toa maoni yako