Mambo muhimu kuzingatia kila siku

Imesomwa mara 1331

Je unafahamu mambo muhimu ya kuzingatia kwa siku?

Fanya haya kila siku ili kuboresha afya yako:

  • Kunywa maji mengi asubuhi, kidogo sana usiku
  • Kula sana asubuhi, kula kiasi mchana na kiduchu usiku
  • Muda muafaka wa kulala ni saa 4 usiku hadi saa 12 asubuhi
  • Kula vitu vyenye sukari baada ya mlo kamili

Kila lakheri kwenye kuboresha afya  yako.

Toa maoni yako