Jinsi ya kuondoa harufu ya kuungua kwenye wali

Imesomwa mara 1347

Je unafahamu kuwa mkate unaondoa harufu ya wali ulioungua?

Kama umepika wali na kuunguza, weka kipande cha mkate juu yake na harufu ya kuungua itaondoka. Hii ni njia rahisi ya kupata matokeo mazuri hata kama umeunguza chakula kwa bahati mbaya. 

Toa maoni yako