Sababu 9 za kunywa juisi ya karoti

Imesomwa mara 1333

Karoti ni chanzo kizuri cha vitamin, ufumwele na virutubisho vingi tofauti. Lakini unafahamu hivi vinakusaidia vipi kwenye kuboresha afya yako?

Hizi ni kati ya faida nyingi unazopata kwa kutumia juisi ya karoti. kumbuka kuwa, hizi faida unazipata hata kwa kula karoti kawaida, maana virutubisho ni vile vile.

  • Kuboresha mmeng’enyo wa chakula mwilini
  • Kuboresha macho
  • Kuzuia saratani
  • Kuboresha kiwango cha sukari kwenye damu
  • Kuboresha mapafu
  • Kuboresha ngozi
  • Kuboresha maziwa kwa mama anayenyonyesha
  • Kuboresha ini
  • Kuzuia anemia

Toa maoni yako