Mtindi unaboresha damu

Imesomwa mara 896

Je unafahamu kuwa kula mtindi huboresha damu yako?

Damu inabeba virutubisho tofauti na kusambaza kwenye seli mwilini. Ili uwe na afya, kiwango cha virutubisho inabidi virekebishwe kila wakati ili mwili uweze kuvitumia kwa ufasaha. Mtindi una kazi kubwa ya kurekebisha kiwango cha sukari kwenye damu. Huu uwezo unatokana na uwepo wa vijidudu vinavyofanya kazi ya kubadilisha maziwa kuwa mtindi – active cultures.

Sukari inayozidi kwenye damu siyo nzuri maana huweza kusababisha matatizo makubwa na hivyo mwili unatakiwa kuipunguza na kuacha kiwango kinachotakiwa kwa matumizi ya seli za mwili.

Toa maoni yako