Unafahamu hii kuhusu broccoli?

Imesomwa mara 919

Je unafahamu kuwa kula Broccoli huondoa lehemu (cholesterol)  mbaya mwilini?

Broccoli ina virutubisho muhimu ambavyo huupa mwili afya na kuufanya unawiri. Pia, broccoli husaidia kuondoa lehemu mbaya mwilini na hivyo kuufanya mwili kuwa na afya zaidi.

Toa maoni yako