Honey Spring

Ghorofa la LOTTOS, Madaraka Road,
Boma,
Morogoro Mjini,
Morogoro,
Tanzania.
+255 683 37 00 65 / +255 769 12 93 51
Malengo

Kuwesha upatikanaji wa asali ya kiwango bora na kuwa muuzaji bora wa asali ndani na nje ya nchi (To provide high quality honey and be the best honey seller and distributor within and outside the country)

Muda wa kazi
  • Jumatatu  - Jumamosi: kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 12 jioni
  • Wasiliana nasi kupitia namba hizi: +255 683 37 00 65 / +255 769 12 93 51

Huduma

Wauzaji wa Asali bora ya Nyuki wadogo (Stingless bees honey) na Nyuki wakubwa (Stinging bees honey).

 

Tathmini huduma hii

Je ulishawahi kutumia huduma hii? Toa tathmini yako kuhusu huduma hii ili kuwasaidia wale wanaotaka kutumia hii huduma kujua ubora wake. Unaweza kutoa tathmini yako kulingana na:
  • Ubora wa huduma
  • Ubora wa bei kulingana na huduma
  • Ubora wa mazingira ya huduma
  • Je unatoa ushauri gani kwa wale wanaopenda kutumia huduma hii?