Mama Don Shop

Area 5, Mkabala na kituo cha mafuta cha Oilcom,
Kichangani,
Morogoro Mjini,
Morogoro,
Tanzania.
Kauli Mbiu

Maisha ni kufanya kazi kwa bidii bila kuchoka

Malengo

Kutoa huduma bora kwa kila mmoja

Muda wa kazi

Asubuhi saa 1 hadi saa 2 usiku


Huduma
 • Vinywaji baridi - juisi, soda, maji n.k
 • Vinywaji vikali - bia, wine, whisky n.k
 • Bidhaa za nyumbani - mafuta, vyakula, unga, mikate n.k
 • Vocha aina zote
 • Bidhaa za watoto - pampers, mafuta, maziwa n.k 
 • Wakala wa M-Pesa, Airtel Money na tiGO Pesa.
 • Bidhaa zote nyingine za nyumbani

mama-don-shop-2

Tathmini huduma hii

Je ulishawahi kutumia huduma hii? Toa tathmini yako kuhusu huduma hii ili kuwasaidia wale wanaotaka kutumia hii huduma kujua ubora wake. Unaweza kutoa tathmini yako kulingana na:
 • Ubora wa huduma
 • Ubora wa bei kulingana na huduma
 • Ubora wa mazingira ya huduma
 • Je unatoa ushauri gani kwa wale wanaopenda kutumia huduma hii?