Yummies Bakery

Mori, Mkabala na BigBon Petrol Station,
Sinza,
Kinondoni,
Dar es Salaam,
Tanzania.
+255 655 672772, +255 657 913807
Kauli Mbiu

We bake to differ

Malengo

Kutoa huduma bora zenye kiwango cha hali ya juu kwa kila mlaji wa bidhaa zetu

Muda wa kazi

Muda wa kazi ni kila siku asubuhi hadi usiku.


Tuna matawi mengi sana ili kukuhudumia kwa ufasaha. Unaweza kutupata kwenye ofisi zetu hizi:

 • Sinza Mori tunatizamana na kituo cha mafuta cha Big Bon
 • Masaki, Chole Road Kituo cha Tax
 • Mwenge, nyuma ya kituo cha police
 • Mbezi, njia ya chini (barabara mpya) Kituo cha Msikitini

Huduma
 • Mikate mbalimbali ya kuoka - brown bread, sweet breads, white breads, milk breads
 • Vitafunwa aina mbali mbali - Maandazi, chapati, Pan Cakes, cookies, pastries, doughnouts, biscuits
 • Pizza na burgers
 • Kutengeneza keki za shughuli mbalimbali - birthday, wedding, anniversaries, graduations, corporate events. Tunatengeneza keki zenye picha kwa kutumia karatasi maalum za icing sugar zinazoweza kuprint picha za aina mbalimbali zinazolika; leta picha yako, ya mwanao au chagua cartoon yeyote tutaipamba na kuweka juu ya keki.

Tathmini huduma hii

Je ulishawahi kutumia huduma hii? Toa tathmini yako kuhusu huduma hii ili kuwasaidia wale wanaotaka kutumia hii huduma kujua ubora wake. Unaweza kutoa tathmini yako kulingana na:
 • Ubora wa huduma
 • Ubora wa bei kulingana na huduma
 • Ubora wa mazingira ya huduma
 • Je unatoa ushauri gani kwa wale wanaopenda kutumia huduma hii?