KAMUSI YA MISOSI

Neno

Pilipili Manga

kiingereza

Black pepper

Maana

Pilipili manga ni kiungo cha chakula chenye faida nyingi kwa afya ya binadamu. 

Hizi ni faida 10 za pilipili manga

  1. Kuboresha ufyonzwaji wa virutubisho mwilini
  2. Kuboresha mmeng’enyo wa chakula
  3. Kuleta hamu ya chakula
  4. Kusaidia mwili kupungua uzito
  5. Kuondoa gesi tumboni
  6. Kuondoa kuvimbiwa
  7. Kuondoa maumivu ya viungo
  8. Kuzuia saratani na magonjwa mengine sugu
  9. Kuondoa msongo wa mawazo
  10. Kutibu magonjwa ya fizi na meno
Imependekezwa na
Charlotte Misosi


merry kimambo
17:06, Sat 13 Aug 2016
nivizuri somo Ilo lingefundishwa kiundani
merry kimambo
17:11, Sat 13 Aug 2016
ningependa watu wazidi kupewa Elimu kiundan