Chachandu ya embe

Chachandu ni nzuri sana mana hukupa hamu ya kula na kukusaudia ufurahie chakula chako

Mahitaji

 • Embe bichi tatu
 • Vitunguu maji 3
 • Vitunguu saumu 2
 • Tangawizi 2
 • Limao 1
 • Pilipili 3
 • Mafuta
 • Nyanya 2
 • Mustard seeds kijiko kimoja na nusu
 • Ungaw wa stumeric kijiko kimoja
 • Chumvi

Wapi kwa kupata bidhaa?

Je wewe unauza hivi vitu kwenye biashara yako? Bofya hapa kutuma maelezo ya biashara yako hapa ili uweze kuwafikia walaji wako.

Maelekezo

 • Saga vitunguu maji peke yake,weka pembeni .
 • Weka sufuria jikoni, weka mafuta ndani ya sufuria, yakipa ta moto weka vitunguu maji. 
 • Weka vitunguu saumu, tangawizi na unga wa sturmeric koroga, weka embe.
 • Weka nyanya na pilipili. Nyanya ikiiva kamulia ndimu  weka chumvi. 
 • Koroga alafu weka mustard seeds kwa juu, koroga funika iive vizuri, koroga kama dk 10 hapo chachandu inakua tayari.Epia.

Toa maoni yakoJIRAMBE..

Tafuta sehemu ya kula karibu yako

MISOSI AKAUNTI YAKO
Huna akaunti? Bofya hapa kujisajili.