Carrot cake

Mahitaji

 • Mayai 4
 • Butter kikombe kimoja na robo
 • Sukari nyeupe vikombe 2
 • Vanila vijiko 2 vya chai
 • Unga vikombe 2
 • Baking powder vijiko 2 vya chai
 • Chumvi nusu kijiko cha chai
 • Cinnamon vijiko 2 vya chai
 • Karoti 220g
 • Baking soda kijiko 1
 • Nutmeg nusu kijiko cha chai
 • Buttermilk robotatu kikombe
 • Flaked coconut kikombe 1

Wapi kwa kupata bidhaa?

Je wewe unauza hivi vitu kwenye biashara yako? Bofya hapa kutuma maelezo ya biashara yako hapa ili uweze kuwafikia walaji wako.

Maelekezo

 • Washa oven weka nyuzi joto 350*F.
 • Chukua bakuli weka unga, sukari, baking powder, baking soda, mdalasini, nutmeg, chumvi na nutmeg kisha changanya vizur sana. Weka pembeni.
 • Chukua bakuli lingine weka mayai, butter, vanila na flaked coconut koroga mpaka viwe laini kabisa.
 • Mchanganyiko wenye mayai mwagia kwenye unga kisha koroga mpaka uone vimechanganyikana vizuri.
 • Chukua karoti ulizoziandaa ukazikwangua weka kwenye mchanganyiko ule wa keki.
 • Koroga vizuri sana. Chukua chombo unachotumia kupikia keki yako kipake butter .
 • Chukua mchanganyiko wa keki mwagia kwenye chombo hicho, weka kwenye oven.
 • Dakika 45 zikipita, funua angalia kama keki imeiva. Chukua toothpick ichome katikati ya keki, kikitoka kikavu imeiva. Ikiwa bado irudishe kwenye oven.
 • Anza kujiramba Ikiwa tayari.

MAPISHI YAPENDWAYO

Grilled Tandoori Chicken Sauce
dakika 75
Walaji: 4

Tortilla Sandwich
dakika 25
Walaji: 2

Pilipili
dakika 15
Walaji: 5

Toa maoni yakoJIRAMBE..

Tafuta sehemu ya kula karibu yako

MISOSI AKAUNTI YAKO
Huna akaunti? Bofya hapa kujisajili.