Chicken curry

Mahitaji

 • Kuku mzima
 • vitunguu maji 3
 • Vitunguu saumu 1
 • Tangawizi 1
 • Nyanya 4 zilizoiva vizuri
 • Nyanya ya kopo
 • Giligiliani vijiko 2 vya chai
 • Binzari kijiko 1 cha chai
 • Garam masala kijiko 1
 • Bay leaves
 • Mdalasini kijiko 1 cha chai
 • Tangawizi kijiko 1 cha chai
 • Maji
 • Chumvi kijiko 1 cha chai
 • Mafuta
 • Cumin iliyosagwa kijiko 1 cha chai
 • Cayenne peper kijiko 1 cha chai
 • Cardamon kijiko 1 cha chai
 • Pilipili 2 ndefu
 • Pilipili manga kijiko 1 cha chakula
 • Limao 1
 • Curry powder kijiko 1 cha chai

Wapi kwa kupata bidhaa?

Je wewe unauza hivi vitu kwenye biashara yako? Bofya hapa kutuma maelezo ya biashara yako hapa ili uweze kuwafikia walaji wako.

Maelekezo

 • Chukua kuku, msafishe mkate. Mtie chumvi na umkamlie limao, weka pembeni.
 • Bandika sufuria jikoni, weka mafuta yakipata moto. Weka kitunguu maji, saumu na tangawizi. Koroga kwa dakika 4 weka curry powder, cumin, binzari, giligiliani, cayenne pepper, bay leaf na kijiko kimoja cha maji .
 • Acha ichemke kwa dakika 1 weka nyanya zikiiva ongeza nyanya ya kopo funika.
 • Nyanya zikiiva kabisa weka mdalasini, green chili na cardamon acha ichemke kwa dakika 5.
 • Weka kuku koroga achanganyikane vizuri, ongeza maji vikombe 3 funika mpaka aive, kisha weka garam masala na pilipili manga koroga dakika 3 kisha epua.
 • Jirambe

MAPISHI YAPENDWAYO

Vitumbua vya mayai
dakika 10
Walaji: 6

Brown rice, maziwa na karoti
dakika 60
Walaji: 1

Chicken Curry
dakika 30
Walaji: 3

Toa maoni yakoJIRAMBE..

Tafuta sehemu ya kula karibu yako

MISOSI AKAUNTI YAKO
Huna akaunti? Bofya hapa kujisajili.