Chocolate cake

Mahitaji

 • Unga 375g
  Sukari nyeupe 600g
  Butter 250g
  Mayai 6
  Cocoa vijiko 5 vya chakula
  Vanila kijiko 1 cha chai
  Chumvi nusu kijiko cha chai
  Baking powder kijiko 1 cha chai
  Butter milk 200ml
  Maji ya machungwa kijiko 1 cha chakula
  Espresso powder kijiko 1 cha chai

Wapi kwa kupata bidhaa?

Je wewe unauza hivi vitu kwenye biashara yako? Bofya hapa kutuma maelezo ya biashara yako hapa ili uweze kuwafikia walaji wako.

Maelekezo

 • Chukua bakuli,weka butter na sukari. Ongeza mayai moja baada ya jingine koroga, yachanganyike vizuri. Kisha weka cocoa.
  Weka unga, buttermilk, vanilla na chumvi. Koroga haraka haraka.
  Weka baking powder, maji ya machungwa na espresso powder,koroga taratibu mpaka uone mchanganyiko wako umechanganyikana vizuri.
  Chukua chombo unachotaka kuokea, kipake mafuta chote kwa ndani. Kisha mimina mchanganyiko wako.
  Jiko lako linakua tayari limeweka. Funika sufuria weka mkaa juu kidogo na chini kiasi ili kuzuia isiungue, iache kwa dakika 30.
  Funua mfuniko, chukua toothpich choma kwenye keki kujua kama imeiva kisha epua ipoe kwa muda.
  Ikisha poa, anza kujiramba.

MAPISHI YAPENDWAYO

Keki ya nanasi
dakika 40
Walaji: 4

Banana muffins
dakika 20
Walaji: 10

Uji wa mchele na ndizi
dakika 35
Walaji: 1

Creamy garlic potato
dakika 40
Walaji: 1

Toa maoni yakoJIRAMBE..

Tafuta sehemu ya kula karibu yako

MISOSI AKAUNTI YAKO
Huna akaunti? Bofya hapa kujisajili.