Creamy garlic potato

Mahitaji

 • Viazi ulaya nusu kg
 • Kitunguu saumu 1
 • Kitunguu maji nusu
 • Butter kijiko 1 na nusu
 • Chumvi robo kijiko
 • Maziwa kikombe 1
 • Cream cheese vijiko 2
 • Cream nzito vijiko 3
 • Nyanya 1
 • Karoti 3

Wapi kwa kupata bidhaa?

Je wewe unauza hivi vitu kwenye biashara yako? Bofya hapa kutuma maelezo ya biashara yako hapa ili uweze kuwafikia walaji wako.

Maelekezo

 • Chemsha viazi, vikiiza vitoe vikaushe maji.
 • Menya nyanya, karoti, kitunguu saumu na kitunguu maji.
 • Chukua sufuria bandika jikoni, weka butter kidogo kisha weka kitunguu maji, kitunguu saumu koroga weka karoti na nyanya. 
 • Funika nyanya zikiiva epua.
 • Chukua sufuria weka maji bandika jikoni, maji yakianza kuchemka. Chukua sufuria weka viazi, butter, cheese, cream na maziwa Weka juu ya yale maji.
 • Vikianza kuyeyuka epua. Weka kwenye blender, chukua na ile sauce ya nyanya changanya usage.
 • Ukimaliza mpe mtoto ajirambe.

MAPISHI YAPENDWAYO

Maandazi ya Vanila na Nazi
saa 1
Walaji: 15

Pound cake
dakika 60
Walaji: 4

Salad ya kabichi
dakika 5
Walaji: 5

Mtori wa ndizi
dakika 45
Walaji: 1

Toa maoni yakoJIRAMBE..

Tafuta sehemu ya kula karibu yako

MISOSI AKAUNTI YAKO
Huna akaunti? Bofya hapa kujisajili.