Jinsi ya kuunga mchuzi mtamu wa nyama

Mahitaji

 • Nyama nusu kilo
 • Tangawizi
 • Kitunguu saumu
 • Bizari nyembamba
 • Nyanya
 • Nyanya pakti
 • Curry powder
 • Vitunguu maji
 • Soysauce
 • Pilipili hoho
 • Mafuta

Wapi kwa kupata bidhaa?

Je wewe unauza hivi vitu kwenye biashara yako? Bofya hapa kutuma maelezo ya biashara yako hapa ili uweze kuwafikia walaji wako.

Maelekezo

 • Chemsha nyama mpaka iive ubaki na supu. Chukua sufuria nyingine bandika jikoni.
 • Weka kitunguu maji vikiiva weka nyanya, iache iive weka nyanya ya pakti.
 • Acha ichemke, weka pilipili hoho, tangawizi na kitunguu saumu. Koroga kwa dakika 2, weka curry powder, bizari nyembamba funika dakika 5 kisha weka mchuzi ya nyama.
 • Acha uchemke mpaka maji yaanze kukauka uone mchuzi unakua mzito, weka soy sauce kama dakika 2 uache uchemke kisha epua.
 • Hapo utakua tayari kuliwa na chakula chochote.

MAPISHI YAPENDWAYO

Brown rice, maziwa na karoti
dakika 60
Walaji: 1

Chicken Curry
dakika 30
Walaji: 3

Cornbread yenye korosho
dakika 40
Walaji: 6

Bata wa mchuzi wenye Bizari
dakika 40
Walaji: 6

Toa maoni yakoJIRAMBE..

Tafuta sehemu ya kula karibu yako

MISOSI AKAUNTI YAKO
Huna akaunti? Bofya hapa kujisajili.