Lemon mustard chicken

Mahitaji

 • Kuku nusu kilo
 • Limao nusu kikombe
 • Mustard vijiko 4 vya chakula
 • Chumvi kijiko 1 cha chai
 • Olive oil kikombe 1 cha kahawa
 • Kitunguu saumu kijiko 1 cha chai
 • Oregano kijiko 1 cha chai
 • Pilipili manga kijiko 1 cha chakula
 • Paprika kijiko 1 cha chakula
 • Cumin kijiko 1 cha chai
 • Pilipili ya unga kijiko 1 cha chai
 • Tangawizi kijiko 1 cha chai
 • Curry powder kijiko 1 cha chai
 • Lemon zest kijiko 1 cha chakula
 • Basil nusu kijiko cha chai

Wapi kwa kupata bidhaa?

Je wewe unauza hivi vitu kwenye biashara yako? Bofya hapa kutuma maelezo ya biashara yako hapa ili uweze kuwafikia walaji wako.

Maelekezo

 • Changanya limao, lemon zest na mustard paka juu ya kuku Kisha weka pembeni.
 • Chukua olive oil changanya na viungo vingine vilivyobaki, chukua kuku mweke kwenye viungo kisha mweke kwenye jokofu kwa dakika 30.
 • Chukua chombo cha kuokea kipake mafuta vizuri kisha chukua kuku mpake tena ule mchanganyiko wa limao na mustard kisha oka.
 • Baada ya muda funua oven, mpake tena limao na mustard mpaka atakapoiva.
 • Baada ya dakika kadhaa akiwa tayari mtoe, na anza kujimba.

MAPISHI YAPENDWAYO

Salad yenye sausage
dakika 5
Walaji: 1

Supu ya Kuku
dakika 30
Walaji: 4

Sandwich ya kienyeji
dakika 7
Walaji: 1

Toa maoni yakoJIRAMBE..

Tafuta sehemu ya kula karibu yako

MISOSI AKAUNTI YAKO
Huna akaunti? Bofya hapa kujisajili.