Lishe ya mtoto (Butternut, gimbi, carrot na maziwa)

Chakula hiki ni kizuri kwa mtoto, mana ni cha asili na kina virutubisho tosha vinavyomsaidia mtoto katika ukuaji na ujengaji wa mwili.

Mahitaji

 • Buttetnut (boga) kipande 1
 • Gimbi kipande 1
 • Karoti kubwa 2
 • Maziwa robo lita
 • Chumvi
 • Maji

Wapi kwa kupata bidhaa?

Je wewe unauza hivi vitu kwenye biashara yako? Bofya hapa kutuma maelezo ya biashara yako hapa ili uweze kuwafikia walaji wako.

Maelekezo

 • Menya boga, gimbi, karoti na uvioshe vizuri sana.
 • Kata vipande vidogo vidogo, kisha viweke kwente sufuria.
 • Weka vyote ndani ya sufuria, weka chumvi isiwe nyingi sana.
 • Ongeza maji bandika jikoni, hakikisha chakula kimeiva vizuri.
 • Epua kiweke pembeni, kipoe kwa muda.
 • Chukua maziwa yachuje kisha yabandike jikoni, yakipata moto epua.
 • Chukua chakula, kiweke kwenye blenda, ongeza maziwa alafu saga.
 • Hakikisha, chakula hakiwi kizito sana wala chepesi sana.
 • Muwekee aanze kujiramba

MAPISHI YAPENDWAYO

Visheti vya vanilla na mdalasini
dakika 15
Walaji: 10

Chicken Tandoori
dakika 60
Walaji: 4

Shawarma ya kuku
dakika 15
Walaji: 2

Spring shrimp rolls
dakika 8
Walaji: 2

Toa maoni yakoMamaa Semorita
20:57, Fri 26 Jun 2015
Napenda sn misosi ama kwa hakika mmenifundisha mapishi mengi sn. Asanteni sn.
JIRAMBE..

Tafuta sehemu ya kula karibu yako

MISOSI AKAUNTI YAKO
Huna akaunti? Bofya hapa kujisajili.