Mapishi ya kabeji

Mboga ya kabeji ni muhimu sana inatusaidia kupata vitamins katika miili yetu na inasaidia kuimalisha afya. Chakula hiki unaweza kula kama kitoweo au unaweza kula yenyewe kama yenyewe bado ikafaa.

Mahitaji

 • Kabeji
 • Carrots
 • Kitunguu maji
 • Nyanya
 • Chumvi
 • Mafuta
 • Pilipili Hoho

Wapi kwa kupata bidhaa?

Je wewe unauza hivi vitu kwenye biashara yako? Bofya hapa kutuma maelezo ya biashara yako hapa ili uweze kuwafikia walaji wako.

Maelekezo

 • Katakata kabeji ioshe na chumvi ili maji yake yatoke. Maji ya kabeji sio mazuri kiafya, hivyo ni vizuri kuosha kwa ufasaha.
 • Andaa karoti, vitunguu maji, pilipili hoho na nyanya
 • Bandika sufuria weka mafuta kijiko kimoja na nusu tu,yakipata moto weka vitunguu maji koroga.
 • Weka nyanya na chumvi funika mpaka nyanya ziive. Zikiiva koroga weka karoti na pilipili hoho kisha endelea kukaanga
 • Weka kabeji ichanganye na vile viungo koroga kidogo tu iepue hapo itakua tayari

MAPISHI YAPENDWAYO

Kuku wa kuoka
saa 1
Walaji: 4

Toa maoni yakoJIRAMBE..

Tafuta sehemu ya kula karibu yako

MISOSI AKAUNTI YAKO
Huna akaunti? Bofya hapa kujisajili.