Mapishi ya spinach

Mahitaji

  •  Spinach
  • Vitunguu maji
  • Pilipili hoho
  • Mafuta

Wapi kwa kupata bidhaa?

Je wewe unauza hivi vitu kwenye biashara yako? Bofya hapa kutuma maelezo ya biashara yako hapa ili uweze kuwafikia walaji wako.

Maelekezo

  • Osha mboga zako vizuri sana.
  • Katakata vipande unavyokata ila vidogovidogo ndio vinapendeza.
  • Andaa viungo vyako kama vitunguu maji vikate kate na pilipili hoho katakata
  • Bandika sufuria jikoni weka mafuta kiasi yakichemka tia vitunguu vikianza kubadilika rangi tia hoho kama dakika 2
  • Kisha weka mboga zako usitie maji zigeuze kidogo funika kidogo kisha geuza mboga za majani sio lazima ziive sana
  • Hapo mboga zako zitakua tayari kuliwa

MAPISHI YAPENDWAYO

Vipopo
dakika 30
Walaji: 4

Vitumbua vya iliki na nazi
dakika 35
Walaji: 8

Dagaa wenye curry sauce
dakika 25
Walaji: 2

Toa maoni yakoJIRAMBE..

Tafuta sehemu ya kula karibu yako

MISOSI AKAUNTI YAKO
Huna akaunti? Bofya hapa kujisajili.