Uji wa mchele na ndizi

Mahitaji

 • Mchele 50g
 • Maziwa 600ml(ya mama au formula)
 • Banana flavour nusu kijiko cha chai
 • Karoti 3
 • Ndizi ya kuiva nusu
 • Nutmeg robo kijiko cha chai
 • Maji vikombe 2
 • Buttet kijiko 1 cha chakula
 • Chumvi kidogo sana
 • Cream ya maziwa

Wapi kwa kupata bidhaa?

Je wewe unauza hivi vitu kwenye biashara yako? Bofya hapa kutuma maelezo ya biashara yako hapa ili uweze kuwafikia walaji wako.

Maelekezo

 • Chambua mchele, safisha toa uchafu wote kisha osha vizuri.
 • Washa jikoni, bandika maji weka mchele, butter na chumvi kidogo.
 • Maji yakianza kukauka weka karoti na nutmeg. Ukiiva weka cream ya maziwa kisha epua.
 • Chukua blender weka chakula, ndizi menya uweke, fleva ya ndizi na maziwa ( kama jug la brenda ni la kioo saga kikiwa cha moto, kama la plastic subiri kipoe lasivyo litapasuka).
 • Saga chakula mpaka kiwe laini, toa mpe mtoto ajirambe.

MAPISHI YAPENDWAYO

Chips na kuku
dakika 45
Walaji: 3

Spice potato curry
dakika 30
Walaji: 4

Spinach yenye maziwa na nazi
dakika 5
Walaji: 4

Toa maoni yakoJIRAMBE..

Tafuta sehemu ya kula karibu yako

MISOSI AKAUNTI YAKO
Huna akaunti? Bofya hapa kujisajili.