Viazi lishe, karoti na maziwa

Viazi lishe ni vizuri sana mana humsaidia mtoto kupata virutubisho muhimu sana mwilini. Virutubisho ambavyo husaidia katika ukuaji na ujengaji wa mwili wa mtoto. Humfanya mtoto awe na afya njema.

Mahitaji

  • Viazi lishe 2
  • Karoti 2 kubwa
  • Butter (salted)kijiko kimoja cha chai
  • Maziwa robo lita

Wapi kwa kupata bidhaa?

Je wewe unauza hivi vitu kwenye biashara yako? Bofya hapa kutuma maelezo ya biashara yako hapa ili uweze kuwafikia walaji wako.

Maelekezo

  • Menya viazi na karoti. Kata vipande vidogo sana. 
  • Weka viazi na karoti kwenye sufuria, ongeza butter kisha bandika jikoni.
  • Baada ya dakika 20, vitakua vimeiva. Epua acha vipoe kidogo. 
  • Weka kwenye blender,ongeza maziwa kisha saga. Hakikisha chakula kimelainika kabisa mtoto wa miezi 6 anaweza kula.
  • Toa muwekee mtoto kwenye bakuli mlishe.

MAPISHI YAPENDWAYO

Tambi za hiliki na sukari
dakika 8
Walaji: 2

Ndizi za kuunga na nazi
dakika 20
Walaji: 2

Supu ya kuku
dakika 15
Walaji: 2

Toa maoni yakoJIRAMBE..

Tafuta sehemu ya kula karibu yako

MISOSI AKAUNTI YAKO
Huna akaunti? Bofya hapa kujisajili.